Home » » MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 NA SHULE ZILIZOONGOZA.

MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2014 NA SHULE ZILIZOONGOZA.

 
Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 – 21, yametoka. Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya mtihani kidato cha 6 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 na wavulana waliofaulu ni 26,825 Watahiniwa waliopata division IV ni 4,420 sawa na asilimia 12.54 Watahiniwa waliopata zero (0) ni 612 sawa na asilimia 1.74.


SHULE 10 ZILIZOONGOZA 

1. Igowole
 2. Feza Boys 
3. Kisimiri 
4. Iwawa 
5. Kibaha 
6. Marian Girls 
7. Nangwa 
8. Uwata 
9. Kibondo 
10. Kawawa 

SHULE 10 ZA MWISHO 
1. Ben Bella 
2. Fidel Castro 
3. Tambaza
 4. MuhezaHigh School 
5. Mazizini
 6. Mtwara Technical 
7. Iyunga technical 
8. Al- falaah Muslim 
9. Kaliua 
10. Osward Mang'ombe
Share this article :