Home » » P. DIDDY KARUDIA JINA LAKE LA ZAMANI PUFF DADDY.

P. DIDDY KARUDIA JINA LAKE LA ZAMANI PUFF DADDY.


Yule rapper na producer mkongwe anaekwenda kwa jina la Sean Combs ambaye hapo mwanzo alikuwa akijulikana kwa jina la Puff Daddy, na baadae mwaka 2001 alibadili jina na kujiita P.diddy ameibuka na kutaka jina lake la Puff daddy lirudi na kuanzia sasa ataitwa Puff daddy na hii imeanza kuanzia track aliyoiachia jana akiwa amemshirikisha Rick Ross na French Montana inayokwenda kwa jina la Big Homie. Pia  Rapper huyo kaachia trailer ya wimbo huo ukijitambulisha kwa jina la Puff Daddy, iangalie hapo chini.
Share this article :